Wakati ilipowekwa: February 21st, 2025
NGARA UPDATES
21/2/2025
limefanyika bonanza la michezo kwa shule za sekondari zilizopo Ngara mjini .
Sekondari zilizoshiriki ni Murgwanza Sec , Ngara Sec ,Visionary Sec na Mchungaji Mwe...
Wakati ilipowekwa: February 22nd, 2025
NGARA UPDATES
22/02/2025
Afisa Elimu Kata Mwl. Theonest Thadeo amewapa motisha walimu wake na kushiriki chakula cha Pamoja.
Ikiwa na kujipongeza kwa jitihada za kufuta Daraja sifu...
Wakati ilipowekwa: February 20th, 2025
NGARA UPDATES
20/02/2025
Kimefanyika kikao kazi Cha kupokea na kujadili Mpango wa utekelezaji wa Maagizo ya Mhe Fatma A Mwassa Mkuu wa Mkoa kagera kuhusu Mikakati ya kuinua taaluma Mkoa wa...