• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Ujenzi na zimamoto

SEKTA YA MIUNDO MBINU.

PICHA/JINA
CHEO
MAWASILIANO
Ndugu,

Kaimu Mhandisi Ujenzi (W)

+255 757 344 761
ujenzi@ngaradc.go.tz

Pia Halmashauri ya Wilaya ya Ngara kupitia Idara ya Ujenzi inashughulikia kazi zote za Ujenzi wa Majengo mbalimbali katika idara tofauti kadri inavyohitajika pia idara inahudumia Mtandao wa Barabara zenye jumla ya urefu wa Kilomita 632.85  ambazo zimegawanyika katika  makundi matatu

1. Barabara muungo (Collector roads) Km 166

2. Barabara mjazio (Fedeer roads)       Km 443.9

3. Barabara za Mjini (Urban roads)      Km 22.95

 

8.1       Hali ya barabara Wilayani.

Hali ya barabara ni nzuri kwa barabara zote za Wilaya , vijiji na mjini zinapitika vizuri kwa mwaka mzima.

8.2       Huduma za usafiri wa anga:

Wilaya inacho kiwanja kimoja (1) cha ndege kinachomilikiwa na Serikali chenye urefu wa km 1.7. Kipo Ruganzo km 10 toka Ngara Mjini upande wa kusini mashariki.

 

8.3       Umeme:

Wilaya inatumia umeme unaotokana na mitambo inayoendeshwa na nishati ya mafuta.  Mashine hizo zina uwezo wa kutoa umeme kiasi cha megawati moja (1). Mwaka 2005 tulikuwa tunahudumia wananchi wa Ngara mjini pekee, hadi kufika mwaka 2015 tumeongeza idadi ya huduma ya umeme kwa wananchi wa mji mdogo wa Kabanga, Rusumo, Rulenge na Mugoma na vilevile kuendelea na mipango ya kusambaza umeme vijijini, Pia shirika la TANESCO linatarajia kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme wa megawati 80 katika maporomoko ya Rusumo.

 

8.4       Huduma za Simu:

Wilaya ya Ngara mwaka 2005 ilikuwa inapata huduma za simu katika mitandao ya CELTEL na TTCL, kufikia mwaka 2015 Wilaya inapata huduma nzuri ya simu kupitia Kampuni za VODA, AIRTEL,TIGO, NA TTCL.Lengo la Halmashauri kwa mwaka 2015 ni kuendelea na ushawishi kwa makampuni ya simu  kupanua wigo wa mitandao yake.

8.5        Huduma za Posta:

Pia Wilaya inayo posta kamili ya Ngara Mjini yenye masanduku 500 na posta ndogo iliyoko Rulenge yenye masanduku 100.  Kupitia posta yetu ya Ngara Mjini wilaya inapata huduma za mawasiliano ya kawaida pamoja na huduma za mawasiliano ya haraka (EMS) kwa barua na vifurushi. Pia wilaya imeingia kwenye mkongo wa Taifa ambao unarahisisha mawasiliano na hata kuwezesha mtandao wa mawasiliano hasa Internet kufanyakazi vizuri zaidi.

8.6       Huduma za Redio: 

  Wilaya inacho kituo cha redio kinachomilikiwa na Kanisa katoliki kinachojulikana kama “Redio kwizera FM”. Kituo hiki hurusha matangazo yake kuanzia Ngara, katika wilaya za Biharamulo, Kibondo, Kakonko, Kasulo na Sehemu ya wilaya chato na Karagwe.

UJENZI MAJENGO JULAI 2017 - JUNI 2018.pdf

Matangazo

  • TANGAZO LA TATHMINI YA UJUZI NA UZOEFU KATIKA WILAYA YA NGARA KUTOKA TEMBO NICKEL August 30, 2022
  • MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022 September 23, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA December 04, 2022
  • RIPOTI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII MRADI WA MAEGESHO YA MAGARI BENAKO December 01, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • WILAYA YA NGARA YANUNUA MAGARI KUTOKANA NA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI

    March 17, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU BAJETI YA HALMASHAURI 2023/2024 NGARA KAGERA

    March 07, 2023
  • KAMATI YA USHAURI YA WILAYA (DCC) YAPITISHA RASIMU YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    February 22, 2023
  • MHE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATOA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA KATA WILAYANI NGARA KAGERA.

    February 28, 2023
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa