- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Ngara anawatangazia wananchi hasa wa mamlaka ya mji mdogo wa Ngara, kutumia kwa usahihi vizimba vya kukusanyia taka ngumu vilivyo kwenye maeneo yao. Aidha ni marufuku kutupa taka nje ya kizimba.
Moja ya kizimba ambapo taka zimetupwa kwa nje
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa