• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022

23 September 2022

HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA

MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE

 12 AGOSTI, 2022

  • UTANGULIZI

Mapendekezo ya rasimu ya Mpango na Bajeti ya Halmashauri kwa mwaka wa Fedha 2022/ 2023 Mwezi Machi 2022. Hata hivyo, baada ya Baraza la Madiwani kupitisha Mapendekezo hayo ya Mpango na Bajeti, vikao mbalimbali katika ngazi za juu viliendelea kujadili Mapendekezo hayo na hatimaye Mpango na Bajeti ya Halmashauri kuidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano Mwezi Juni 2022 ambapo Makisio ya Mapato na Matumizi ya Halmashauri ni Tsh. 41,196,614,000.00

  • MCHANGANUO WA MAKISIO YA MAPATO YA MPANGO NA BAJETI 2022/2023
  •  

    • NA
    • KASMA
    • KIASI CHA FEDHA IDHINISHWA
    • 1
    • MAPATO YA NDANI
    •  
    • a
    • Mapato ya Ndani Isiyofungiwa
    •  
    • b
    • Mapato fungiwa –Afya
    •  
    • c
    • Mapato Fungiwa-Elimu Sekondari
    •  
    • d
    • Mapato Fungiwa-Vijiji
    •  
    • JUMLA MAPATO YA NDANI
    •  
    • 2
    • RUZUKU YA MISHAHARA
    •  
    • 3
    • RUZUKU YA MATUMIZI YA KAWAIDA
    •  
    • 5
    • RUZUKU YA MIRADI YA MAENDELEO
    •  
    • a
    • Fedha za Ndani (Serikali Kuu)
    •  
    • b
    • Fedha za Nje ( wahisani)
    •  
    • JUMLA KUU
    •  

    • MCHANGANUO WA FEDHA ZA RUZUKU –FEDHA ZA NDANI
    •     2.2 MCHANGANUO WA FEDHA ZA RUZUKU –FEDHA ZA NJE

       

      • Na
      • KASMA
      • KIASI CHA FEDHA IDHINISHWA
      • 1
      • Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya
      • 500,000,000.00
      • 2
      • Ukamilishaji wa Maboma ya Zahanati
      • 100,000,000.00
      • 3
      • Ujenzi wa Nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji
      • 150,000,000.00
      • 4
      • Ununuzi wa vifaatiba vya Zahanati
      • 100,000,000.00
      • 5
      • Ununuzi wa vifaatiba vya Vituo  vya Afya
      • 300,000,000.00
      • 6
      • Gharama za Uendeshaji Mitihani
      • 881,647,000.00
      • 7
      • Elimu Bila Malipo –Msingi
      • 967,125,000.00
      • 8
      • Elimu Bila Malipo –Sekondari
      • 2,193,123,000.00

      • Na
      • KASMA
      • KIASI CHA FEDHA IDHINISHWA
      • 9
      • Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika Vituo shikizi
      • 66,000,000.00
      • 10
      • Ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Shule Kongwe
      • 180,000,000.00
      • 11
      • Ukamilishaji wa Maboma ya Vyumba vya Madarasa Elimu Msingi

      156,250,000.00

      • 12
      • Ujenzi wa nyumba za walimu Elimu Msingi
      • 200,000,000.00
      •  
      • Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo
      • 87,533,000.00
      • JUMLA
      • 5,881,678,000.00

      •  
      •  

        • Na
        • KASMA
        • KIASI CHA FEDHA IDHINISHWA
        • 1
        • UNICEF-Usajili wa watoto chini ya miaka 5
        • 131,021,000.00
        • 2
        • TASAF-III
        • 3,841,853,000.00
        • 3
        • GAVI-Uimarishaji wa mifumo ya Afya
        • 204,238,000.00
        • 4
        • BOOST-Uboreshaji wa miundombinu Elimu Msingi
        • 1,290,000,000.00
        • 5
        • HSBF
        • 588,205,000.00
        • 6
        • (SRWSS)-kuboresha huduma za Maji na usafi wa mazingira Elimu msingi
        • 310,000,000.00
        • &
        • (SRWSS)-kuboresha huduma za Maji na usafi wa mazingira Afya
        • 334,000,000
        • 8
        • Gobal Fund –Malaria
        • 8,425,000.00
        • 9
        • Gobal Fund –TB/LEPROSE
        • 5,446,000.00
        • 10
        • SEQUIP-Ujenzi wa Shule Mpyaya Sekondari  Nyamagoma
        • 573,000,000.00
        • JUMLA
        • 7,286,188,000

        • MCHANGANUO WA MAKISIO YA MATUMIZI YA MPANGO NA BAJETI 2022/2023
      • TANBIHI:

         

        • Na
        • SEKTA
        • SHUGHULI/MRADI
        • KIASI CHA FEDHA IDHINISHWA
        • 1
        • KILIMO NA MIFUGO
        • Kuwezesha Shughuli za Kilimo, Mifugo na ushirika
        •      55,000,000.00
        • 2
        • MAENDELEO YA JAMII
        • Utoaji wa Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na watu wenye Ulemavu (10%)
        •     196,980,206.00
        • 3
        • AFYA
        • Afua za janga la UKIMWI
        • 15,000,000.00
        • Kuchangia Afua za Lishe
        •       95,000,000.00
        • Ukamilishaji wa maboma 2 ya Zahanati
        •     100,000,000.00
        • 4
        • UTAWALA
        • Ununuzi wa gari-Tiper
        •   80,000,000.00
        • 5
        • ELIMU MSINGI
        • Ukamilishaji wa vyumba vya madarasa na ujenzi wa vyoo Elimu Msingi
        •   94,000,000.00
        • Kulipa fidia ya Ardhi
        •   25,000,000.00
        • 6
        • MIPANGO
        • Kuendeleza ujenzi wa Maegesho Nzaza
        • 24,000,000.00
        • Usimamizi, Ufuatiliji na Tathmini ya Miradi ya Maendeleo.
        • 54,000,000.00
        • 8
        • MALIASILI NA UTUNZAJI WA  MAZINGIRA
        • Shughuli za misitu na wanyama pori
        • 30,000,000.00
        • 9
        • MIUNDOMBINU NA MAENDELEO MIJINI NA VIJIJINI
        • Upimaji na Mipangomiji
        • 18,940,739.00
        • JUMLA
        • 787,820,985.00

        3.1 MCHANGANUO WA MAKISIO YA MATUMIZI YA MPANGO NA BAJETI 2022/2023-ASILIMIA 40 YA MAPATO YA NDANI


        • Kila Kijiji kitapaswa kukusanya kiasi kisichopungua TSh. 5,000,000/= Taslimu na kuzipeleka Benki ambapo matumizi yake yatafanyika kupitia mfumo wa malipo wa kielektronik (FFARS)
      • Naomba kuwasilisha.

Matangazo

  • TANGAZO LA TATHMINI YA UJUZI NA UZOEFU KATIKA WILAYA YA NGARA KUTOKA TEMBO NICKEL August 30, 2022
  • MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022 September 23, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA December 04, 2022
  • RIPOTI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII MRADI WA MAEGESHO YA MAGARI BENAKO December 01, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • WILAYA YA NGARA YANUNUA MAGARI KUTOKANA NA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI

    March 17, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU BAJETI YA HALMASHAURI 2023/2024 NGARA KAGERA

    March 07, 2023
  • KAMATI YA USHAURI YA WILAYA (DCC) YAPITISHA RASIMU YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    February 22, 2023
  • MHE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATOA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA KATA WILAYANI NGARA KAGERA.

    February 28, 2023
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa