• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Rasilimali watu na utawala

HALI HALISI YA WATUMISHI WILAYANI NGARA.

PICHA/JINA

CHEO

MAWASILIANO
Bi. Sabra Mwakenja



Afisa Utumishi

+255 658 905 665

Email: utumishi@ngaradc.go.tz

Halmashauri ya wilaya ya Ngara kwa sasa inao watumishi 2,249 wanaotakiwa ni watumishi 2,708 hivyo tunao5.1 Idadi ya watumishi Halmashauri ya wilaya ya Ngara


2.1.    Idadi ya watumishi Halmashauri ya wilaya ya Ngara


No
Idara
Me
Ke
Jumla
Mahitaji
Pungufu
1
Utawala na utumishi

139

28

167

172

05

2
Fedha na Bihashara

15

6

21

27

6

3
Ujenzi

13

1

14

18

4

4
Maji

14

5

19

28

9

5
Elimumsingi

951

634

1585

2179

594

6
Elimusekondari

371

138

509

535

56

7
Maendeleoyajamii

13

6

19

37

18

8
Kilimo ushirika

35

20

55

111

56

9
Mifugo na Uvuvi

18

6

24

111

86

10
Sheria

1

0

1

2

1

11
Ugavi

2

3

5

5

0

12
Ufugaji nyuki

2

0

2

4

2

13
Teknolojia,habari,mawasilianona uhusiano

2

1

2

3

1

14
Ardhi na maliasili

8

0

8

15

7

14
Ukaguziwandani

2

1

3

4

1

16
Afya

110

232

342

600

257

17
UchuminaMipango

2

0

2

5

3

18
Uchaguzi

1

0

1

3

2

 
JUMLA KUU

1687

1073

2751

3869

1098

 upungufu wa watumishi 459 sawa na 18.4% kama inavyoainishwa katika jedwali.


2.2.1.    Mafanikio katika Sekta ya Utumishi na Utawala kwa kipindi cha mwaka July 2012 –   Juni 2015.

•    Halmashauri katika hali ya kuboresha mazingira kupitia idara ya utumishi na utawala  imejenga ofisi za Kata 13 na ofisi za vijiji 31 Sambamba na ujenzi na ukarabati wa nyumba mbalimbali za watumishi.

•    Idadi ya watumishi imeongezeka kutoka watumishi 2223 mwaka 2014 hadi  watumishi 2770 mwaka 2015 sawa na ongezeko la  17.5%. mwaka wa fedha 2014/15 tumepata kibali na kuajiri jumla ya watumishi 34 wa kada za madreva, watendaji wa kata, watendaji wa vijiji pamoja na makatibu mahususi.

•    Serikali imeweza kulipa madeni mbalimbali ya watumishi yanayojumuisha malimbikizo ya Mishahara, uhamisho, likizo, matibabu na masomo kiasi cha Tsh 156,110,828.07. Mpaka julai 2015 bado kuna madeni ya jumla Tsh 167,864,000 madeni ya malimbikizo ya mishahara na uhamisho wa watumishi.

•    Watumishi 346 wamepandishwa vyeo kwa mwaka wa fedha 2014/2015 na tayari wamesharekebishiwa mishahara yao tangu mwezi april 2014 kupitia mfumo uliboreshwa wakushughulikia maslahi ya watumishi HCMIS (LAWSON).

•    Halmashauri kupitia mpango wa mafunzo imeendelea kuimarisha ujuzi na taaluma za watumishi kujiendeleza katika fani mbalimbali walizo ajiriwa nazo kwa  kuanzia  mwaka 2014 hadi 2015 watumishi 26 wamegharimiwa / wanagharimiwa katika vyuo mbalimbali hapa Nchini.

•    Aidha Halmashauri katika kuboresha mazingira ya kazi inaendelea na ujenzi wa Ofisi ya Kata Rusumo.

2.3.    CHANGAMOTO.

Upungufu wa watumishi katika Halmashauri hii unachangiwa na sababu zifuatazo:-

1.    Hali ya kuwa na wasiwasi wa usalama katika Wilaya, ingawa kwa sasa hali ni nzuri. Hali hii kama ilivyokuwa inatangazwa na kuandikwa katika vyombo vya habari ilisababisha wataalam walioko sehemu mbalimbali nchini kuwa na wasiwasi wa kuishi hapa wilayani au kuja kufanya kazi katika wilaya hii.

2.    Kutokana na umbali wa wilaya hii kutoka sehemu mbalimbali bidhaa na huduma muhimu za viwandani kama vile vinywaji, vifaa vya ujenzi, mavazi, mafuta na vipuri na huduma  mbalimbali za kiuchumi na kijamii zinafanya bidhaa hizo kuwa ghali kulinganisha na maeneo mengine nchini.  Hivyo watumishi wengi hasa wanaopata ajira kwa mara ya kwanza kutopendelea kufanya kazi Ngara.


2.4.    MIKAKATI.

Katika kupunguza tatizo la watumishi Halmashauri ina mikakati ifuatayo:

1.    Kuendelea kuomba vibali vya ajira za watumishi wapya toka Wizarani.

2.    Kuimarisha ulinzi na usalama na kuwaeleza watu kuwa hali ya ulinzi na usalama imeboreka ili kundoa hofu miongoni mwa watu kuwa Ngara ni sehemu isiyo salama.

3.    Kuendelea kuwasiliana na serikali kuu juu ya tatizo la upungufu wa watumishi na kuandaa mfumo wa motisha kwa watumishi wapya na waliopo na hasa wale wanao fanya kazi katika mazingira magumu.

MAMLAKA YA MIJI MIDOGO NGARA NA RULENGE.
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara inazo Mamlaka mbili za Miji midogo ya Ngara na Rulenge. Mamlaka ya mji mdogo wa Ngara ilianzishwa mwaka 2008 na Mamlaka ya Mji mdogo wa Rulenge ilianzishwa Mwaka 2015



Matangazo

  • TANGAZO LA TATHMINI YA UJUZI NA UZOEFU KATIKA WILAYA YA NGARA KUTOKA TEMBO NICKEL August 30, 2022
  • MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022 September 23, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA December 04, 2022
  • RIPOTI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII MRADI WA MAEGESHO YA MAGARI BENAKO December 01, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • WILAYA YA NGARA YANUNUA MAGARI KUTOKANA NA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI

    March 17, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU BAJETI YA HALMASHAURI 2023/2024 NGARA KAGERA

    March 07, 2023
  • KAMATI YA USHAURI YA WILAYA (DCC) YAPITISHA RASIMU YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    February 22, 2023
  • MHE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATOA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA KATA WILAYANI NGARA KAGERA.

    February 28, 2023
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa