- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ngara anapenda kuwatangazia watumishi na wananchi wote wa wilaya ya Ngara kwa ujumla kuwa kutakuwa na baraza la madiwani litakalofanyika kuanzia tarehe 27 hadi 28 mwezi wa 4 mwaka 2017. Baraza hilo litafanyika katika ukumbi wa halmashauri kuanzia saa nne (4) kamili asubuhi
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa