- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
21/2/2025
limefanyika bonanza la michezo kwa shule za sekondari zilizopo Ngara mjini .
Sekondari zilizoshiriki ni Murgwanza Sec , Ngara Sec ,Visionary Sec na Mchungaji Mwema.
Ambapo michezo shindaniwa ni Soka wavulana, soka wasichana Netball, Volleyball .
Bingwa kwa michezo yote jumla ni Murgwanza Sekondari wakifuatiwa na Visionary, Mchungaji Mwema na Ngara sekondari.
Ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa