- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
22/02/2025
Limefanyika Bonanza la Michezo na Sanaa kwa shule za msingi zilizopo Ngara Mjini.
Bonanza hilo liliandaliwa na ofisi ya Utamaduni, sanaa na Michezo wilaya
Shule za Msingi zilizoshiriki ni 7 Ambazo ni Murgwanza , Nyamiaga,, Ngara Mjini,Mubinyange, Mukididi,Napsi na Nakatunga
Michezo na sanaaa iliyoshindaniwa ni Soka wavulana, Soka wasichana,Mpira wa wavu ,Mpira wa Mikono ,Netiboli na sanaa za maonesho Ngoma. Mgeni rasmi katika Bonanza hilo alikuwa ni Afisaelimu Msingi Ndg. James Ling'hwa
Mshindi wa Jumla katika Bonanza hilo ni Shule ya Msingi Ngara Mjini ikifuatiwa shule ya Msingi Murgwanza.
Aidha katika Bonanza hilo walishirikishwa wanafunzi wenye Mahitaji Maalum, Wadau wa michezo Mahsy and Asha Co Ltd , Fredy Mini SuperMarket na Ngara Oil walitoa katoni za maji, Juice , soda na Biscuti kwa wanafunzi walioshiriki Bonanza hilo.
Wanafunzi wenye mahitaji maalum wameshiriki Bonanza la michezo na Sanaaa.
Kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa