- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Ngara - 23 Disemba, 2025
Mhe. Kanal Mathias Julius Kahabi Mkuu wa wilaya ya Ngara aongoza mkutano wa hadhara katika kijiji cha Ibuga kata ya Kabanga.
Col. Kahabi ametumia fursa hiyo kuwataka wananchi kushererekea Sikukuu za Krismasi na mwaka mpya kwa Amani na Utulivu na kusisitiza kwamba vyombo vyote vya ulinzi na usalama vimeimalika kuhakikisha utulivy upo wakati wote.
Aidha, Col. Kahabi amezungumza na wananchi masuala yafuatayo:-
1. Amekemea wahamiaji haramu kutoka nchi Jirani
2. Amewaasa wazazi na walezi kupeleka watoto shule ifikapo January 2026.
3. Amekataza mikesha ya kupiga baruti, kuchoma matairi kipindi cha mkesha.
4. Amesisitiza wananchi wote wa jimbo la ngara kushererekea kwa amani na atakaeleta vulugu hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.


Kazi na Utu tunasonga Mbele.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa