• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

DC AFANYA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO KATA YA MUGANZA WILAYANI NGARA- KAGERA.

Wakati ilipowekwa: December 28th, 2023

Ngara 

Mkuu wa Wilaya ya Ngara Kanali Mathias Julius Kahabi  ameendelea na ziara ya kutembelea kata Mbalimbali za wilaya ya Ngara , kwa lengo la kufanya mikutano ya hadhara kwa kusikiliza na kutatua kero Kwa wananchi.

Mhe Mkuu wa Wilaya katika ziara hiyo aliongozana na kamati ya Usalama Wilaya, kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Emmanuely Kulwa, Wakuu wa Idara na Vitengo , Wakuu wa Taasisi za Serikali. NIDA, RUWASA, TARURA, TRA, TANESCO, Pamoja na Mhe Diwani kata ya Muganza ,uongozi wa kata na kijiji .

Mhe Mkuu wa Wilaya na timu yake  wamefanya ziara Katika vijiji vya Mukubu na Muganza kata ya Muganza Wilayani Ngara.

Katika Mikutano miwili aliyofanya Mhe Mkuu wa Wilaya akitoa nafasi Kwa Idara Mbalimbali kutoa Maelezo ya Idara / Taasisi .

Wananchi  wa Vijiji hivyo waliuliza kero zao na kupatiwa ufumbuzi  na wataalam  Mbalimbali waliofuatana na Mhe Mkuu wa Wilaya.

Mhe Mkuu wa Wilaya akiongea na wananchi amesisitiza 

1. Wananchi wasiogope kuwasiliana na kuwa karibu na Mkuu wa wilaya Kanali Kahabi Kwa  yeye ndiye Mwakilishi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan.

2. Suala la Elimu  Wazazi wasiwakatishe watoto masomo kwani Elimu husaidia kujikomboa na unyonyaji wa aina tofauti tofauti. Pia wanafunzi wote walioandikishwa kuanza la Kwanza na walishinda darasa la Saba na kuchaguliwa kwenda kidato Cha kwanza Wazazi wahakikishe wanakwenda Shule bila kuwaficha majumbani.Elimu ni ufunguo wa maisha 

3. Lazima watoto waendelee na Elimu aliyosajiliwa na kuepusha Mdondoko wa wanafunzi kuanzia Msingi Hadi sekondari

4. Suala la ulinzi na usalama ni Jukumu la Kila  Mwananchi.


5. Wananchi waache kufuga wahamiaji  Kutoka nchi Jirani ni vyema kutii Sheria bila shuruti na upo utaratibu nzuri wa vibali vya Serikali Kwa raia wa kigeni.

Pamoja na yote  hayo Mhe Mkuu wa wilaya amewashukuru  viongozi wote Kwa kuendelea kushirikiana  na kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji Wilaya, Kwa kuzidi kushirikiana pia Mhe Mbunge wa Jimbo la Ngara.

Mwisho ameomba wananchi kuendelea kuwa  na Imani  Kwa serikali ya Tanzania inayoongozwa na Mama shupavu kabisa Rais na Amiri Jeshi mkuu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.

Nae Mhe Diwani kata ya Muganza alimshukuru Mhe Mkuu wa Wilaya Kwa kufika kata ya Muganza kusikiliza na kutatua kero, Amempogeza Kwa utaratibu wa kufanya mikutano na kuongea na Wananchi.

Baadhi ya wataalam wa Halmashauri  katika Mkutano wa hadhara wa kusikiliza na kutatua kero.


Wananchi wa kijiji cha Mukubu Kata ya muganza wakiwa kwenye Mkutano wa Hadhara wa kusikiliza na kutatua kero.


Wananchi wa Kijiji Cha Mukubu.


Kaimu katibu Tawala Ndg Jawadu Yusuph, Mwanasheria wa Halmashauri, na kaimu Afisa Elimu sekondari  Bi Elina Yoweli katika mkutano wa hadhara kijiji cha Muganza.


Mkuu wa wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias J.Kahabi aliyesimama akiongea na wananchi wa Kijiji Cha Muganza, ambapo wa kwanza kushoto ni Mhe Diwani Kata ya Muganza,wa pili kushoto ni kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndg Emmanuely Kulwa  pamoja na wataalam aliambatana nao.



Wananchi wa Kijiji Cha Muganza walivyojitokeza katika mkutano wa Hadhara kusikiliza na kutatua kero.


Wataalam Kutoka Halmashauri wakiwa kwenye Kikao hicho Kijiji Cha Muganza Kata ya Muganza Wilayani Ngara.


Wananchi.

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa