- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo tarehe 28/8/2025, Mhe Col Mathias Julius Kahabi ameshiriki zoezi la usafi katika maeneo ya Nakatunga.
DC Col Kahabi alishiriki usafi huo pamoja na Viongozi wengine akiwemo Mhe Hafidh - Diwani Mteule Kata ya Kabanga, Cde Titho P. Hilmon, Cde Juventus Juvenal pamoja na wananchi wa maeneo hayo.
Ngara kazi inaendelea..
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa