- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Tamasha hili kubwa limeandaliwa na Mhe Hajatt Fatma Abubakar Mwassa - Mkuu wa Mkoa wa Kagera na kujumuisha Makundi mbalimbali wakiwemo Viongozi wa dini, Viongozi wa Chama na Serikali na wananchi wote katika Mkoa wa Kagera.
Kauli Mbiu ya Tamasha hilo kubwa la Ijuka Omuka mwaka 2024 ni "Wekeza Kagera na Irudishe katika Ubora wake."
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa