- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhishwa na Kazi nzuri iliyofanywa na Mkoa wa Kagera katika nyanja ya kuwainua Vijana Kiuchumi kupitia Programu ya Build Better Tomorrow (BBT), ambapo Mhe. Hajat Fatma Mwassa amefanya wasilisho fupi kupitia Banda la Mkoa Kagera namna ambavyo amewawezesha Vijana kulima zao la Kahawa kupitia Kongani ya Vijana Muleba
Ngaradc.go.tz
#RsKagera
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa