- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
14/05/2025
Comred Vitaris Ndairagije Mkiti wa CCM Wilaya ameongoza kamati ya Siasa wilaya kutembelea na kukagua miradi ya Maendeleo wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera . Ambapo ameambata na Katibu wa CCM Wilaya Bi Mariam , Mhe Col. Mathias Julius Kahabi Mkuu wa Wilaya , Ndugu Constantine Msemwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashaurj ya wilaya, Meneja wa RUWASA, Meneja TARURA na Wataalam Wa Halmashauri.
Miradi walioyotembelea na kukagua ni
Aidha Mhe Comred Vitaris Ndailagije Mkiti wa CCM Wilaya amemshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha nyingi katika miradi ya sekta Mbalimbali wilaya ya Ngara.
Ziara ya kamati ya siasa Wilaya ya kutembelea na kukagua miradi ya Maendeleo itaendelea kwa tarafa za kanazi , Rulenge na Mursagamba.
Kamati ya Siasa Wilaya wakisikuliza taarifa ya ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami Magereza - Mukididil - kabalenzi
Comred Vitaris Ndairagije akiwa na Mhe Col Mathias J kahabi ,Mhe Wilbard Bambara Mkiti wa Halmashauri na katibu wa CCM Bi Mariam wakiwa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya lami
Kamati ya Siasa wakiwa eneo shule ya mchepuo wa kiingereza ilipojengwa Nakatunga Ngara mjimi
Kamati ya siasa ikiongozwa na Comred Vitaris Ndailagije wakiwa kwenye mradi wa ujenzi wa ukumbi wa kisasa na frem za maduka Ngara mjini
Comred Vitaris Ndairagije Mkiti wa Ccm Wilaya akiongoza kamati ya siasa kukagua Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Halmashauri ya wilaya akiwa na Col Mathias J kahabi Dc na Ndg Constantine Msemwa mkuu wa Idara ya Mipango na uratibu ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wilaya
Viongozi wakiwa kwenye mradi wa maji kumuyange kata ya Nyamiaga
Col Mathias J kahabi Dc akiwa na Ndg Constantine Msemwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya wakiwa kwenye mradi wa maji kumuyange.
Kamati ya siasa wakisikiliza taarifa ya ujenzi wa shule ya Sekondari Amali iliyojengwa kasharazi kata ya Rusumo kabla ya kutembelea na kukagua
Kamati ya siasa wilaya wakiwa katika shule ya sekondari Amali
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa