- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
12/05/2025
Madhimisho ya siku ya Wauguzi Duniani yafanyika kiwilaya Ngara Mjini. Maadhimisho hayo yaliyoanza kwa kufanya matukio mbalimbali matendo ya huruma kwa kuwatembelea wagonjwa Hospitali ya Murgwanza kwa kutoa zawadi kwa wagonjwa sambamba na Maadamano yaliyopita Mitaa ya Ngara Mjini
Maadhimisho hayo yalihudhuliwa na Mhe Nadaisaba G Ruhoro Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mganga mkuu wilaya Dr Deograthias Mlandali , wauguzi wakuu wa hospitali za Nyamiaga na Murgwanza aidha wauguzi mbalimbali kutoka hospitali zote , vituo vya afya na Zahanati.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa ni Bi Jenifer Mapembe Mkuu wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya.
Katika maadhimisho hayo zilitolewa zawadi mbalimbali kwa wauguzi Bora
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho Hayo Bi Jenifer Mapembe Mkuu wa idara ya utawala na usimamizi wa Rasilimali watu aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya.
Mhe Ndaisaba G Ruhoro Mbunge wa Jimbo la Ngara ashiriki Maadhimisho ya siku ya Wauguzi Duniani kiwilaya iliyofanyika Ngara Mjini.
Wauguzi wakiwa katika maadhimisho ya siku yao
Wauguzi katika maadhimisho ya siku ya Waguzi iliyofanyika Ngara mjini ukumbi wa New Moorland Hotel
Wauguzi Bora wakabidhiwa zawadi na Mgeni Rasmi
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa