• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

MATEMBEZI YA KM 5 WIKI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA UHURU WA TANZANIA BARA YAFANYIKA WILAYANI NGARA- KAGERA.

Wakati ilipowekwa: December 8th, 2023

NGARA

Leo Tarehe 8/12/2023 yamefanyika Matembezi ya Kilometa 5, mazoezi ya viungo pamoja (AEROBIC) ,Michezo Kwa Wanaume na wanawake Kwa kuvuta kamba,Kufukuza kuku, kukimbia kwenye magunia, watumishi vs wananchi ,Bodaboda vs Watumishi pia kuchangia damu, kucheza Muziki akinamama,Bao ,karata na Draft.Washindi wamepewa zawadi zao.

Matembezi yameongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg.Solomon Kimilike Kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi akiwa na kaimu katibu Tawala Wilaya Ndg Jawadu Yusuph, Wakuu wa Idara na vitengo Halmashauri,Taasisi za Serikali Ruwasa,Tanesco,TRA,Posta,simu, na Tarula,watumishi mbalimbali Toka Serikali kuu na Mitaa,Bodaboda pamoja na wananchi.

Kaimu katibu Tawala Ndg.Jawadu Yusuph  amewashukuru viongozi,watumishi  mbalimbali ,wananchi waliojitokeza katika matembezi ya Kilometa 5 Ikiwa na kushiriki mazoezi ya pamoja na michezo mbalimbali.

Nae Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike amewashukuru wananchi na watumishi wote walishiriki matembezi,na michezo mbalimbali .Aidha amewashukuru wadau wote waliojitoa Kwa kuchangia vitu mbalimbali  .aliendelea Kwa kuwataja Ngara oil, Ngara famers,Chama Cha walimu CWT, NMB, Ndg kolonery kishegeshe ,RUWASA na NGUASA.

Matembezi ya kilometa 5 yakoingozwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike akiongoza Matembezi.


Matembezi ya kilometa 5 katika wiki ya Maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara.





Baada ya matembezi kilometa 5 na Mazoezi ya Aerobic.


Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike akiwaona kuku kabla ya mashindo ya kukimbiza kuku kuanza.



Shindano la kuvuta kamba kati ya Bodaboda vs Watumishi.


Shindano la kuvuta kamba wanawake  kati ya Wananchi  vs watumishi.

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa