• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Aipongeza Serikali ya Rwanda kwa Kusaidia Kuudhibiti Moto Rusumo

Wakati ilipowekwa: August 20th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigadia Jenerali Marco Gaguti, amewapongeza wananchi na serikali ya Rwanda, kwa kuudhibiti moto uliosababisha kifo cha mtu mmoja, na kuteketeza magari sita mpakani Rusumo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Agosti 19, 2018.

Brigadia Jenerali Gaguti, ametoa pongezi hizo jana mpakani Rusumo wakati akiongea na waandishi wa habari, kwamba anaipongeza serikali ya Rwanda, iliyotoa magari mawili ya zimamoto na helkopta moja, kwa ajili ya kuzima moto huo.

“Moto ulionza majira ya saa moja asubuhi umesababishwa na gari la kampuni ya Lake Oil lenye namba za usajili T578CPM, lililofali breki na kuyagonga magari yaliyokuwa katika yadi ya Rusumo, na kusababisha moto uliopelekea magari sita kuungua pamoja na trekita moja.” alisema Brigadia Jenerali Gaguti.

Aidha, ametoa pole kwa familia ya aliyekuwa dereva wa gari la Lake Oil aliyepoteza maisha, kwamba anawatakia wawe na moya wa vumilivu na wananchi wa Rusumo waliofadhaishwa na tukio hilo.

amekiri kwamba kulikuwa na mapungufu ya kukosa nyenzo za kukabiliana na majanga kama moto; huku akiahidi kwamba atakaa na kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya na ya Mkoa, ili kwa pamoja watafute suluhisho la kudumu.

Akiongea kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Magharibi wa Rwanda Ndugu Mufulukye Fred, Mkuu wa Wilaya ya Kilehe Ndugu Mzungu Gerald amesema tukio hilo ni somo kwa wananchi wa nchi za Rwanda na Tanzania.

“Kuna haja sasa ya nchi zetu mbili kukaa pamoja na kutafuta suluhisho la majango haya, ili siku nyingine yasisababishe hasara kama hii, nashukuru kwamba jitihada zetu, zimezaa matunda chanya kwani moto umedhibitiwa” Alisema Ndugu Muzungu.

Viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Ngara walihudhuria tukio hilo akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, Afisa Tawala, Afisa Usalama (W) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Magharibi wa Rwanda, na Mkuu wa Wilaya ya Kilehe nchini Rwanda.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MHE. COL MATHIAS KAHABI DC NGARA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA.

    May 29, 2025
  • NGARA YAENDELEA VIZURI NA MICHEZO YA SHULE ZA MSINGI UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA.

    May 26, 2025
  • MADEREVA WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI ILI KUPUNGUZA AJALI - NGARA

    May 24, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI - MTUMBA DODOMA

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa