- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
KUTOKA JIJINI TANGA
18/08/2025
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara kutoka Mkoa wa Kagera imefanikiwa kushinda Mchezo wao wa kwanza katika Mchezo wa WAVU (Volleyball) Leo Tarehe 18/8/2025 katika Mashindano ya watumishi wa Serikali za Miitaa (SHIMISEMITA) yanayoendelea ndani ya Jiji la Tanga.
Katika Mchezo huo timu ya Watumishi kutoka Ngara walikuwa wakwanza kushinda seti ya kwanza kwa kishindo kwa jumla ya Point 25 dhidi ya 18 za Mwanza jiji kabla ya Mwanza Jiji kupindua meza na kusawazisha kwa kupata point 25 kwa 18 na kufanya seti ziwe sawa.
Ngara waliamua kuwa mbogo uwanjani na kusaka kwa kishindo ushindi katika seti ya tatu kwani kwa mujibu wa taratibu za Mashindano hayo kwa Mwaka huu kila mchezo ulichezwa seti tatu badala ya seti Tano kama ulivyo utaratibu wa Mpira wa wavu.
Hivyo Ngara wakafanikiwa kushinda seti ya tatu na ya uhsindi kwa kumchapa Mwanza Jiji pointi 15 kwa 13 za seti ya mwisho kwani kwa mujibu wa Sheria za Mchezo huu seti
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa