- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Pichani ni DC Ngara Mhe Col Mathias Julius Kahabi akikagua mradi wa ujenzi wa Kituo cha afya uliopo Kijiji cha Kanazi, Kata ya Kanazi ambao unagharimu kiasi cha shs 250m na unatarajiwa kuwekewa jiwe na msingi na Mwenge wa uhuru mwaka 2025.
Ukaguzi huo umefanywa na Dc Ngara Mhe Col Mathias Kahabi leo tarehe 30/8/2025, na kumtaka Fundi Mkuu wa ujenzi huo afanye kazi usiku na mchana ili mradi huo ukamilike kwa kiwango cha kuwekewa jiwe la msingi.
Ngara kazi inaendelea.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa