• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Mipango na Usimamizi wa Takwimu

IDARA YA MIPANGO TAKWIMU NA UFUATILIAJI

PICHA/JINA

CHEO

MAWASILIANO
                     Ndugu Lucas Daud 
Afisa Mipango

+255 621 036 167
mipango@ngaradc.go.tz

Hali ya Idara

Idara ya Mipango Takwimu Na Ufuatiliaji ni miongoni mwa Idara 13 zinazounda Halmashauri ya wilaya ya ngara. idara inatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia será na miongozo mbali mbali toka ngazi ya taifa na dunia kwa ujumla,  será na miongozo ni kama sera ya maendeleo vijijini, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Malengo ya Millennia 2015, njia shirikishi jamii ya upangaji (O & OD), Sera ya Takwimu 2002, Sera ya Taifa ya Idadi ya watu 2006, Mpango wa Taifa wa Maendeleo 2011/12-2015/16, Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini II na Ilani ya Uchaguzi 2010-2015. Idara ina ina watumishi 6, Kati yao 1 ni katibu mahsusi, 2 wachumi na 3 ni maafisa maendeleo ya jamii.


14.1    Majukumu ya idara

Kazi kuu za Idara hii ni pamoja na;

a)    KURATIBU mpango wa halmashauri,

b)    kuratibu na kusimamia shughuli za ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo,

c)    uhamasishaji jamii kushiriki katika miradi ya maendeleo,

d)    kutafsiri miongozo mbalimbali kutoka serikali kuu,

e)    kutoa ripoti za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na kukusanya kuchambua na kusambaza takwimu mbalimbali za kijamii na kiuchumi na

f)    kuhakikisha banki ya takwimu mbali mbali za za kijamii na kiuchumi zinaboreshwa na kuhakikiwa.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2019 January 09, 2020
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2019 January 09, 2020
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2019 January 09, 2020
  • Matokeo ya mitihani iliyofanyika 2017 January 30, 2018
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI MTENDAJI KUTEMBELEA UJENZI WA MADARASA KWA AJILI YA MAPOKEZI YA KIDATO CHA KWANZA 2021

    January 05, 2021
  • MKURUGENZI AWAAGIZA VIONGOZI WA KATA MPAKA VITONGOJI KUHIMIZA MATUMIZI BORA YA VYOO NA USAFI WA MAZINGIRA

    August 12, 2020
  • NGARA YAGEUKA KIVUTIO KWA WENGI MAONESHO YA NANENANE 2020

    August 08, 2020
  • MKUU WA WILAYA NGARA AWASIFU WAKULIMA WA NGARA

    August 07, 2020
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa