- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Tuesday 21st, January 2025
@Ngara Mjiniu
Kikao kazi cha wakuu wa shule za sekondari za serikali ,Binafsi na maafisa Elimu .kikiongozwa na Mkiti Bw Enock Ntakisigaye Afisa Elimu wilaya .Mambo yaliyojadiliwa kupitia miongozo ya uboreshaji Elimu ,uthibiti wa utoro, uandikishaji wa kidato cha kwanza 2023,, michezo ya UMISSETA na Mikakati ya kuongeza ufaulu.kikao kimefanyika ukumbi mdogo Ngara sekondari tarehe 7/01/2023.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa