- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Tuesday 21st, January 2025
@Ngara
Halmashaurj ya wilaya iliyowakilishwa na Shule ya Msingi Ntungamo iliyoshika nafasi ya pili 2 kimkoa Shule hiyo imepata tsh 44,000,000/ kwa ajili ya Miradi ya maendeleo , Ngao , cheti cha ushiriki na ushindi ,Jezi seti 2, pamoja na mipira. Wilaya zilizoshiriki ni saba 7 ambazo ni Shule za Msingi Mabingwa katika Wilaya. Mgeni rasmi alikuwa Khalifa Shemahonge Afisa Elimu Mkoa akimwakilisha Mhe Albert Chalamila Mkuu wa Mkoa wa kagera. Bonanza hilo lilihudhuliwa na wageni toka Ujerumani akiwemo Rais wa Jambo for Development Bw Clemence Mulokozi.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa