• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

AFISA ELIMU MSINGI AFANYA KIKAO KAZI NA WALIMU WAKUU NA MAAFISA ELIMU KATA WILAYANI- NGARA KAGERA

Wakati ilipowekwa: April 3rd, 2024

NGARA LEO

Afisa elimu Msingi Ndg.James Ling'hwa amefanya kikao kazi kilichofanyika Ukumbi wa Ngara Sekondari ambapo Kikao hicho kilishirikisha Walimu Wakuu shule zote  na Maafisa Elimu Kata zote.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Maafisa Idara ya Elimu Msingi, Katibu wa TSC Wilaya, Mthibiti Mkuu wa Shule, na Maafisa Utamaduni Sanaa na michezo, lengo la kikao lilikuwa ni kuinua Taaluma shuleni Pia Miradi ya ujenzi shuleni, Maandalizi ya michezo ya Umitashumta.

Aidha Mkiti wa kikao Afisa Elimu Msingi Ndg. James Ling'hwa alitoa nafasi Kwa Maafisa Elimu Idara Msingi ambao ni Afisa Elimu taaluma Mwl Adonise Jonstone, Afisa Elimu watu wazima Mwl Frank kitunzi, Afisa Elimu takwimu na vifaa Mwl  Sospeter shemaya, Afisa elimu Elimu Maalum Mwl Ezekiely Nzabayanga  kuwasilisha Mada kulingana na eneo lake, pia Kwa katibu TSC Bi Madina korongo , Kaimu Mthibiti Ubora wa shule Bi. Laurencia Bijojo na Maafisa Utamaduni Sanaa na Michezo Mwl. Said Salum na Bi. Elina patrice.

Mkiti wa kikao Afisa Elimu Msingi Mwl. Ling'hwa amesisitiza yafuatayo

  1. Usimamizi wa Taaluma shule zote za Msingi 
  2. Usimamizi wa Miradi  
  3. kuthibiti utoro wa wanafunzi pia walimu
  4. Ushiriki wa Michezo ya UMITASHUMTA

Walimu Wakuu na maafisa elimu kata wakiwa katika kikao kazi kilichofanyika ukumbi wa Ngara sekondari.


Maafisa elimu kata ,walimu wakuu shule za msingi wakiwa kwenye kikao kazi.


Maafisa wakiwa kwenye kikao kazi na walimu wakuu na Maafisa elimu kata.


Afisa elimu Taalum Msingi Mwl Adonise Johnstone akiwasilisha Mada.


Afisa elimu Msingi Mwl James Ling'wa akiongea na walimu wakuu shule za msingi na Maafisa elimu kata.


Maafisa wakiwa kwenye kikao kazi.



ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa