- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
04/03/2025
Leo Akina Mama Wilaya wakiongozwa na Mama Kihili wamefika Nyumbani kwa Mhe Col Mathias Julius Kahabi Mkuu wa wilaya ya Ngara kwa ajili ya kumpa mkono wa pole kwa kufiwa na Mzazi wake.
Akina Mama wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mhe Col Mathias Julius Kahabi Mkuu wa Wilaya ya Ngara
Mhe Col Mathias J Kahabi Dc Ngara alipotembelewa na akina Mama kwa ajili ya kumpa mkono wa pole
Ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa