• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

BANKI YA CRDB YAKABIDHI MADAWATI SHULE YA MSINGI NGARA MJINI WILAYANI NGARA.

Wakati ilipowekwa: November 30th, 2023

Uongozi wa  Benki ya CRDB Tarehe 29/11/2023 ulikabidhi  Madawati  yatakawasaidia  zaidi ya wanafunzi 105..

Akitoa taarifa fupi ya shule ya Msingi Ngara Mjini Mwalimu Mkuu Catherine Heri alisema kupatikana Kwa Madawati hayo kutaondoa upungufu uliokuwepo   shuleni. Amewashukuru Benki Kwa ufadhili wa Madawati hayo.

Nae Meneja Mahusiano wa Kanda Bi Joyce Maruba alisema kuwa wanamuunga mkono Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Kwa Juhudi kubwa anazozifanya za kuwaletea Maendeleo watanzania.

Akipokea Madawati hayo Diwani kata ya Ngara Mjini Mhe Kennedy Festo  kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi aliwashukuru Banki ya CRDB Kwa kutoa Madawati yatakayokaliwa na wanafunzi Zaidi ya 105. Aidha alimtakia meneja huyo wa Kanda kuendelea kusaidia shule Mbalimbali zilizopo Wilayani Ngara.

Nae Afisa elimu Msingi Bi Josline Bandiko Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya  aliwashukuru uongozi wa Bank ya CRDB Kwa kutoa Madawati yatakayowasaidia wanafunzi wa shule hiyo aliendelea Kwa kusema "moyo usio na shukrani hukausha mema yote" alimshukuru na kuwaomba kuendelea kurudisha fadhila Kwa jamii kupitia shule Kwa sababu inagusa sehemu kubwa ya jamii.

Nae Meneja wa CRDB Ngara Ndg. Elicana  aliwashukuru uongozi wa  Halmashauri Kwa ushirikiano Uliopo na kuahidi kuendelea kusapoti shughuli za maendeleo wilayani Ngara.

Diwani wa kata ya Ngara Mjini Mhe, Kennedy Festo Kwa niaba ya Mhe Mkuu wa Wilaya ya Ngara Kanali Mathias Julius Kahabi akikabidhi Madawati Kwa Afisa Elimu Msingi Bi Josline Bandiko Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ngara


Afisa elimu Msingi Bi  Josline Bandiko  akimkabidhi Madawati  Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Ngara Mjini Bi Catherine  Heri


Meneja CRDB Ngara Ndg Elikana kutoka kushoto, Meneja CRDB Kanda Bi Joyce Maruba, Mhe Kennedy Festo Diwani Ngara Mjini na Afisa elimu Msingi Bi Josline Bandiko katika hafla ya makabidhiano ya Madawati shule ya Msingi Ngara Mjini



Wanafunzi wa shule ya Msingi Ngara Mjini wakiwa wamekalia Madawati yaliyotolewa na Banki ya CRDB

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa