- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo tarehe 17/02/2024, Mhe Col Mathias Julius Kahabi amefanya ukaguzi wa miradi mikubwa ya Soko la Kimkakati Rusumo, Ngara High school na Jengo la Halmashauri HQ inayosimamiwa na Wataalam wa LADP.
Mhe Col Kahabi amekagua na kuridhishwa na maendeleo ya Ujenzi huo ambao hapo awali ulianza kwa kusua sua.
Mhe Col Kahabi ameendelea kumpongeza Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuridhia fedha nyingi zaidi ya Bilioni 10 za CSR mradi wa kuzalisha umeme wa Rusumo unaotekelezwa na kusimamiwa na NELSAP.
Ambapo Fedha hizo za CSR zimetolewa na kutekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara kwa awamu Mbili za LADP phase 1 na LADP phase 2.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa