• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

DC KAHABI NA VIONGOZI MBALIMBALI WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KITUO CHA NGARA MJINI S/M

Wakati ilipowekwa: October 11th, 2024

Leo tarehe 11/10/2024

DC Ngara Mhe Col Mathias Julius Kahabi akifuatana na Katibu Tawala wa Wilaya Bi. Hatujuani Ally Lukari, Kamati ya Usalama ya Wilaya, Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali pamoja na Watumishi wa Serikali na Wananchi kwa ujumla walifika mapema asubuhi leo hii na kujiandikisha katika Kituo cha Kujiandikisha wapiga kura cha S/Msingi Ngara Mjini.

Aidha, kabla ya kwenda kujiandikisha katika Kituo hicho Mhe DC Kahabi alipata nafasi ya kuongea na Waandishi wa habari wakiwemo Radio Kwizera, Bilomo online TV, na Juveila online TV na kutoa hamasa kwa Wananchi kuhusu zoezi la Uandikiahaji wapiga kura  ambalo limeamza rasmi leo tarehe 11/10/2024 na litamalizika tarehe 20/10/2024.

Wananchi wa Wilaya ya Ngara wamekuwa na mwitiko na hamasa kubwa kutokana na maandalizi mazuri yanayoendelea kufanywa na Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Ndg Solomon O. Kimilike (Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Ngara) na Afisa Uchaguzi wa Wilaya hiyo pamoja na wasimamizi wote wa zoezi la Uandikiahaji wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Mhe Col Kahabi DC Ngara alijiandikisha kituo shule ya msingi Ngara Mjini.


Bi Hatujuani A Lukari Karibu tawala wilaya alijiandikisha Ngara mjini.


Kamanda wa TAKUKURU wilaya Ndg Ally Mikidadi Akijiandikisha katika kituo cha shule ya msingi Ngara mjini.


Afisa uchaguzi Ndg James Ling'hwa alikiwa na Msimamizi Msaidizi Halmashauri (hamasa) Ndg said Salum wakimpokea Mhe Col Mathias J Kahabi Mkuu wa wilaya.


Kamanda William Solla  OCD Ngara Akijiandikisha.



Ndg Omary Rajabu Meneja TRA Ngara akijiandikisha. 

Ngara Kazi inaendelea.

www.ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa