- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
14/08/2025
Mhe Col. Mathias J. Kahabi Mkuu wa Wilaya amefungua Kikao cha Baraza la Biashara katika ukumbi wa Halmashauri ambapo kilihudhuliwa na Bi. Jenifer Mapembe kaimu Mkurugenzi Mtendaji wilaya, Bi Hatujuan A. Lukari Katibu Tawala Wilaya, Mkiti wa TCCIA Ndg Fredrick P Kaboyoka Privanus katinhila K/ Mkuu wa Idara ya Biashara viwanda na Uwekezaji , Ndg Frank Mdimi Mkuu wa kanda ya ziwa tume ya Ushindani (FCC) Viongozi kutoka NIDA , Jeshi la Uhamiaji na Wafanyabiashara,
Mada Mbalimbali zikitolewa ambazo ni
1. Mabadiliko ya Sheria yac Leseni ya Mwaka 2025 iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji (w)
2. Biashara za Mipakani iliwezeshwa na Mkuu wa Tume ya Ushindani kanda ya ziwa (FCC)
3. Hamasa ya Uanzishaji Viwanda - SIDO
4. Uthibiti wa Biashara ya Magendo Mipakani - Jeshi la Polisi
5. Uthibiti wa Biashara ya magendo ya Mafuta - EWURA Kanda ya Ziwa
6. Vibali vya ajira kwa Wageni -Jeshi la Uhamiaji
7. kitambulisho cha Uraia ( Mratibu wa NIDA Wilaya)
7. Maeneo ya Uwekezaji Wilaya ya Ngara.
Baada ya Mada Mbalimbali yalifanyika Majadiliano kwa kina na kutolewa ufumbuzi.
Ngara kazi Inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa