- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
13/08/2025
Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara amepokea ugeni toka Kampuni ya DON Consultant Ltd inayofanya tathmini za awali kuhusu mradi wa kilimo cha Umwagiliaji katika Wilaya ya Ngara.
Mradi huu mkubwa unafadhiliwa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Dr Samia Suluhu Hassan - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo na utakuwa na Miradi Minne Mikubwa ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Ngara.
Timu hiyo ya Watalaam iliyofika ofisini kwa DC Ngara kwa lengo la kutambulisha mradi ni hawa wafuatao,
Pamba Mkonyagi - National Irrigation Commission(NIRC) - Ngara, Eng. Jumanne Sokya - NIRC - Kagera, Eng. Addiru Teshome - DON Consultant Ltd, Eng. Mehell Lumei, Susan Wagner, Rufael Redie, Eng. Kumbuka Munishi, Joshua Lyakurwa, Elly Sanga, Joseph Chewe, Chacha Marwa, Ester Nestory wote toka National Irrigation Commission.
Kikao kimefanyika Ofisini kwa Mhe Mkuu wa Wilaya
Mhe Col Mathias J kahabi Mkuu wa Wilaya akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Tawala Wilaya Bi Hatujuani A Lukari Katibu Tawala wilaya pamoja na viongozi wa kampuni ya Don Consaltant Ltd.
Ngara Kazi inaendelea.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa