- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 04, 2025 amefunga semina elekezi kwa Mawaziri na Naibu Mawaziri iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
Semina hiyo ambayo ilifunguliwa na Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ilikuwa na lengo la kuwajengea uelewa wa pamoja kuhusu majukumu, taratibu, maadili na matarajio ya Serikali kwa Wananchi na Taifa kwa ujumla.
Akizungumza katika semina iliyoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Mawaziri, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa maarifa waliyoyapata yatasaidia kuwaongoza katika kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi, Rasilimali za Umma, Dira 2050, Mipango ya Maendeleo na kuimarisha utoaji huduma kwa wananchi.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa