• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

HALMASHAURI ZITENGE FEDHA KWA AJILI YA MICHEZO YA WATUMISHI WA SERIKALI ZA MITAA (SHIMISEMITA)

Wakati ilipowekwa: October 31st, 2023

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais -TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji, Majiji na Manispaa kutenga fedha zitakazowezesha watumishi kushiriki kikamilifu Michezo ya Watumishi wa Serikali za Mitaa (SHIMISEMITA).

Dkt. Msonde ameyasema hayo  Oktoba 30, 2023 wakati wa kufungua michezo ya SHIMISEMITA katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Amesema ni muhimu watumishi wote washiriki kwenye michezo ili wawe na afya njema yenye kuleta ukakamavu, weledi, umoja, upendo, ushirikiano, mshikamano na uzalendo.

"Michezo pia husaidia kuondoa msongo wa mawazo"  amesema Dkt. Msonde

Amesema ni muhimu watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa washiriki katika michezo na kuimarisha michezo mahala pa kazi.

Pia Dkt. Msonde amewakumbusha watumishi hao kufuata taratibu za kiutumishi katika michezo hiyo na kuacha kuwaingiza watu ambao sio watumishi.

"Msiwashirikishe kushiriki michezo hii kwa wasio watumishi wa Serikali za Mitaa, kwani mkifanya kinyume chake mtakuwa mnavunja na kukiuka taratibu na maadili ya utumishi."

Aidha, Dkt. Msonde ametumia fursa hiyo kuwakumbusha watumishi hao kutumia michezo hiyo kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unafanyika mwaka 2024.

" Tumieni michezo kutoa hamasa na kuwakumbusha wananchi wote wenye sifa washiriki na kujitokeza katika uchaguzi."

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Michezo ya Watumishi wa Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) Bw. Jeshi Lupembe ameishukuru Ofisi ya Rais -TAMISEMI kwa kusimamia na kuwaruhusu watumishi hao kushiriki michezo.

Pia ameiomba Ofisi ya Rais -TAMISEMI  kuendelea kuzihimiza halmashauri ziruhusu watumishi hao kushiriki pindi  michezo hiyo inapofika sababu amesema, kwa mwaka 2023 kati ya halmashauri 184 za Tanzania Bara ni Halmashauri 70 tu ndio zimeshiriki.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa