• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Kama Si Mfanyabiashara Mdogo Usiombe Kitambulisho Hicho; Lt. Col. Mntenjele

Wakati ilipowekwa: December 31st, 2018

“Tunataka mfanyabiashara ndogo ndogo ndiyo achukue kitambulisho; ambao tayari wana TIN na wanalipa kodi ya serikali wakigundulika wamepokea kitambulisho hiki, watachukuliwa hatua za kisheria.” Alisema Mkuu wa Wilaya ya Ngara Lt. Col. Michael Mntenjele.

Lt. Col. Mntenjele ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa zoezi la utoaji wa vitambulisho kwa wafanyabiashra ndogondogo Disemba 31, 2018, katika viwanja vya posta ya zamani Wilayani Ngara.

“Vitambulisho hivi havitatolewa kwa wafanyabiashara wanaofanya biashara ya mtu, wala kwa watu wenye maduka yaani ambao wamepewa TIN ya kulipa mapato ya serikali, bali kwa wafanya biashara ndogo ndogo kwa kuzingatia maelekezo ya Rais.” Alisema Mkuu huyo wa Wilaya.

Lengo siyo kukwepesha watu wasilipe kodi; wale wenye uwezo wa kulipa kodi walipe na wale wadogo watalipa shilingi 20,000/= kadili ya maelekezo ya Mh. Rais, ili kuwaondolea bughudha ya kufukuzana na wanaokuja kuwadai kodi ya serikali.

Kwa hiyo, mfanyabiashara watakaotambulika kwamba ni wadogo ni wale ambao mauzo yao ghafi; yaani mauzo yao kwa siku hayo hayazidi shilingi 11,000/= na kwa mwaka mapato yao hayazidi milioni nne (4,000,000/=).

“Malipo yanayotakiwa ni shilingi 20,000/= na wala hakuna ziada na malipo hayo ynafanyika benki mtu yeyote asije akakuomba fedha yoyote baada ya kulipia kitambulisho hicho; malipo yaliyotangazwa ni 20,000/=.” Alisema Mkuu wa Wilaya.

Hata hivyo, wale waliosajailiwa kulipa kodi ya serikali na wanabiashara kubwa, lazima walipe kodi kwa mtindo huo; na si kwa kujifanya wafanyabiashara wadogo, ili uweze wakwepe jukumu la kulipa kodi ya serikali.

Amsema ana taarifa kwamba kuna watu wanachukua biashara toka kwenye maduka ya watu na kupanga sokoni; na kuongeza kwamba ikiwa biashara hiyo siyo ya wafanyabiashara ndogo ndogo hawataruhusiwa kupata vitambulisho hvyo.

Amewasisitiza kujaza fomu maalumu inayopatikana kwa mkuu wa mkoa lakini kwa vile nafanyakazi kwa niaba ya mkuu wa mkoa, kwa hiyo fomu hizo zinapatikana ofisini kwa mkuu wa wilaya muda wote wa kazi.

Amewafafanulia kwamba fedha hiyo watailipa benki kwa kufuata utaratibu watakaopewa na TRA; na kuongeza kwamba wakisha lipa wataaleta stakabadhi kwa Katibu Tawala, ambaye atawapatia kitambulisho tayari waendelee na kazi.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa