- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATE
12/ 03/2025
Kamati ya Fedha imeendelea na ziara ya kutembelea Miradi ya maendeleo. Kamati hiyo ikiongozwa na Mhe Adronizi Bulindori makamu Mkiti wa Halmashauri pia kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Bi Jenifer Mapembe Waheshimiwa Madiwani na Wakuu wa Idara na vitengo.
Miradi iliyotembelewa
Nae Kaimu mkurugenzi Mtendaji Bi Jenifer Mapembe amempongeza meneja wa kiwanda kwa Jitihada kuwa na kiwanda kwa kuajiri watumishi 4 kuunga jitihada za serikali kuwa na viwanda na kutoa ajira.
Nyumba 2 in 1 shule ya Sekondari Murubanga kata ya Nyamagoma imekamilika
Ujenzi wa Nyumba yq Walimu 2 in 1 Shule ya Sekondari Murubanga kata ya Nyamagoma imekamilika na kutumika
Ujenzi wa vyumba 4 vya Madarasa Shule ya Msingi Rwinyana Mradi umekamilika na kuanza kutumika
Shule ya Sekondari Mumurama iliyopo kata ya Bukiriro ujenzi umekamilika na kutumika
Mhe Adronizi Bulindori Majamu Mwenyekiti H/Wilaya na Bi Jenifer Mapembe kaimu.Mkurugenzi Mtendaji Wilaya wakiwa darasani Shule Mpya ya sekondari Mumurama aidha wanafunzi wa kidato cha kwanza Wanafunzi wamshukuru Ahsnte Dkt Samia Suluhu Hassani Rais wa JMT.
Shule mpya ya Sekondari Mumurama kata ya Bukiriro
Makamu Mkiti H/ Wilaya Mhe Adronizi Bulindori , kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Bi Jenifer Mapembe, Mhe Erick kilamachumu Diwani kata ya Bukiriro na wajumbe wakiwa chumba cha Maabara shule ya sekondari Mumurama.
Ujenzi wa Nabweni 2 Shule ya Sekondari Muyenzi
Kamati ya Fedha utawala na Mipango wakiwa shule ya sekondari Muyenzi yanapojengwa Mabweni 2
Kamati wakiwa shule ya sekondari muyenzi yanapojengwa mabweni 2
Kamati ya fedha utawala na mipango wakiwa kwenye kiwanda cha Mafuta Rulenge
Kamati ya fedha walipotembelea kiwanda cha mafuta ya Alizeti Rulenge
Ngara kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa