- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
11/03/2025
Kamati ya Fedha utawala na Mipango ikiongozwa na Mhe Adronizi Bulindori Makamu Mkiti Halmashauri ya Wilaya , Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wilaya ,Waheshimiwa Madiwani wa kamati hiyo, wakuu wa Idara na Mratibu wa LADP
Miradi iliyotembelewa
Kamati hiyo imesisitiza Majengo ya Utawala, Soko la Mkakati ifikapo tarehe 31/03/2025 Miradi hiyo iwe imekamilika.
Waheshimiwa Madiwani wakikagua jengo la Utawala Makao makuu Halmashauri ya Wilaya
Kamati ilkpotembelea jengo la utawala Makao makuu
Kamati ilipotembelea mradi wa ujenzi soko la kimkakati kahaza
Kamati wakiwa unapojengwa ukumbi wa kisasa Ngara Mjini
Kamati ilipotembelea ujenzi wa mabweni Rusumo sec
Mabweni Shule ya Sekondari Rusumo
Mabweni shule ya Sekondari lukole ujenzi wa Mabweni
Mhe Makamu mkiti H/w Mhe Adronizi Bulindori akielekea shule ya sekondari Amali
Mhe Fabiani Nigonzoma Diwani kata ya Rusumo akiwa na Mkuu wa Idara ya utawala usimamizi wa Raslimali watu Bi Janifer Mapembe aliyekuwa kaimu Ded wakiangalia Bweni Lukole Sekondari
Ngara kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa