- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Kamati maalum imetembelea Njia na Miradi ya Mwenge Itakayofunguliwa, zinduliwa ,Kaguliwa,na kuwekewa Jiwe la Msingi.
Ambapo timu hiyo iliongozwa na Mhe Mkuu wa Wilaya Ngara Kanali Mathias Kahabi akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon kimilike, pia kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Wataam.
Wametembelea Mradi Wa Vijana Shamba la Parachichi hekari 24, kitalu cha Miche na Mizinga ya Nyuki , vijana hao ambao walikiri kupokea Mkopo toka Halmashari ya Wilaya walimshukuru Mkurugenzi Mtendaji kwa kupatiwa Mkopo.
Aidha Mhe Mkuu wa Wilaya Aliwapongeza vijana hao kwa kazi nzuri ambayo ni mfano wa kuigwa.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa