• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Kikokotoo cha Mafao ya Kusitaafu Kitumike cha Zamani; Rais Magufuli

Wakati ilipowekwa: December 28th, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania  Dkt John Pombe Magufuli, ameagiza vikokotoo vya mafao ya wafanyakazi katika mifuko ya hifadhi ya jamii, vilivyokuwa vinatumika kabla ya mifuko haijaungana viendelee kutumika hadi mwaka 2023.

Rais Magufuli amesema hayo leo, alipokutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) vyama shiriki, watendaji wakuu wa mifuko ya Hifadhi ya jamii ya PSSSF na NSSF na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii (SSRA) katika kujadili   kikokotoo kipya cha mafao kwa wastaafu.

“Kustaafu sio dhambi, bali ni heshima na mtu anayestaafu ni shujaa; aliyetumikia taifa kwa uaminifu na uadilifu kwa kutimiza majukumu yake, vivyo hivyo hatakiwi kubughudhiwa” Amesema Magufuli

Amesema kikokotoo hicho kitakuwa cha kipindi cha mpito ambapo kufikia mwaka 2023, jumla ya wasaafu 58,000, wataendelea kulipwa 50% ya mafao yao kwa mkupuo, badala ya kupokea mafao ya  40% yaliyopendekezwa hapo awali.

Amesema watumishi hao, kwa kigezo cha kupewa mafao yao kwa 25% ni kuwaongezea msongo wa mawazo na kushindwa kutekeleza malengo ya maisha yao; huku wakiendelea kuilalamikia serikali inayojali watu wanyonge.

Mifuko ya jamii inayojihusisha na kikokotoo cha wastaafu ina jumla ya wanachama 1,261,200 ambayo iliunganishwa katika mifuko miwili ya NSSF NA PSSSF; kabla ilipendekeza kutoa 25% kwa wastaafu kitendo kilichokuwa kinapelekea kuilalamikia serikali.

Aidha, amesema katika kuendelea kuwafahamu watumishi mamalaka  ikiwemo mifuko ya jamii, wizara ya utumishi, kuhakikisha inafanya uchunguzi wa wastaafu hewa, lakini mifuko hiyo ijielekeze kwenye uanzishaji wa miradi yenye tija.

Katika hatua nyingine, Rais Magufuli ameagiza wanasheria , watendaji wa serikali na vyombo vya dola, kufanya uhakiki wa orodha ya wastaafu kwani, wanaweza kuwepo wastaafu hewa, hivyo ameagiza zoezi la kuwahakikia wastaafu hao lianze mara moja.

Vile vile, amewataka wanasiasa kutoingilia mifuko ya hifadhi ya jamii, kwamba waiache ifanye kazi yake; huku akiwataka watumishi wa mifuko hiyo wasijihusishe na vitendo vya kupokea Rushwa kutoka kwa wastaafu ispokuwa wafanye kazi kwa kutenda haki na kufuata sheria.

“Hili litaondoa ubadhilifu na ukiukaji wa maadili ya utumishi, wastaafu wataweza kunufaika na mafao yao lakini pia itaondoa manung’uniko  kwa baadhi ya  kanuni au sheria zinazolalamikiwa na watumishi wastaafu” Ameongeza Rais

Rais Magufuli ameitaka mifuko hiyo, kujitathimini katika matumizi ya mali ya wafanyakazi hasa katika suala la utoaji wa ajira ya walinzi  kutoka kwenye makampuni binafsi na kuwalipa zaidi ya Shilingi bilioni 4, ambapo kama mifuko hiyo ingewaajiri Suma JKT wangelipa shilling shilingi 1.4 bilioni pekee kwa mwaka.

“Mifuko ya hifadhi ya jamii  ipunguze matumizi ya ovyo na kusifanyike uwekezaji usio na tija, lakini ipunguze gharama za uendeshaji na kuwaunganisha watumishi wa sekta binafsi  wapatao 448,000 katika mifuko ya NSSF.” Aliongeza Rais Magufuli.

 Rais Magufuli amehitimisha kwa kusema kwamba vikokotoo vinavyotumika kwa wasataafu vitofautiane na muda wa kila msataafa huku akisistiza kuwa, mifuko hiyo itafute wanachama zaidi kutoka hata sekta binafsi, na kulipwa mafao yao mara tu wanapomaliza mikataba yao.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa