- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mganga Mkuu Wilaya Dr. Deogratias Mlandali amesema tayari kituo Cha Afya Rusumo kimeanza kutoa HUDUMA za UPASUAJI mama na Mtoto.
Mganga Mkuu Wilaya alisema Sasa wananchi wa maeneo ya Kata za Rusumo ,kata jirani za kasulo, murukulazo watapata Huduma za UPASUAJI Kwa mama na Mtoto.
Kuwepo Kwa Huduma hiyo kutaondoa adha waliokuwa wakiipata wananchi kufuata Huduma katika hospital za Nyamiaga na murgwanza Zilizopo Ngara Mjini.
Aidha Mkurugenzi Mtendaji Wilaya alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa kuleta Fedha Kwa ajili ya miradi ya Maendeleo wilayani Ngara pia Kwa vifaa tiba.
ngardc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa