• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

MAAZIMIO YA MKUTANO WA KWANZA WA KITAIFA WA WADAU WA ZAO LA PARACHICHI TANZANIA

Wakati ilipowekwa: April 5th, 2025

NGARA UPDATES

Maazimio Makuu Matatu

  1. Uzalishaji wa Parachichi kwa Tija
  2. Upatikanaji wa Masoko
  3. Sheria Ndogo za Uzalishaji

Uzalishaji wa Parachichi kwa Tija

  1. Kuwa na vipando vya mbegu Bora za Parachichi 
  2. Kutoa elimu ya Kilimo cha Parachichi kwa Tija
  3. Kuongeza huduma za ugani kwenye kilimo cha Parachichi 
  4. Kupata mikopo nafuu na ruzuku ya pembejeo, mbegu, miche na mbolea.
  5. Kutoa orodha ya viwatilifu vya Parachichi 
  6. Kutoa ruzuku ya huduma na miundombinu ya mifumo ya umwagiliaji
  7. Kutoa huduma za kupima afya ya udongo katika ngazi ya kijiji bure
  8. Kuongeza thamani zao la Parachichi 


Upatikanaji wa Masoko ya Parachichi

  1. Kuzingatia viwango vya Ubora wa Parachichi Sokoni
  2. Kuratibu Ushuru wa Parachichi 
  3. Kuzingatia kero na changamoto za usafirishaji
  4. Kuboresha maslahi ya vyama vya ushirika
  5. Kuzingatia sehemu za kuhifadhia na kupakia shehena ya Parachichi 
  6. Kufanya maboresho ya Bandari na Airport kwa ajili ya usafirishaji wa Parachichi 
  7. Kufanya uboreshaji wa miundombinu ya barabara
  8. Kukabiliana na changamoto za madalali wa Parachichi 

Sheria Ndogo za Uzalishaji wa Parachichi

  1. Kuzingatia madaraja ya Parachichi na kuondokana na neno Reject kwenye zao la Parachichi.
  2. Hakutakuwa na madalali wa Parachichi 
  3. Mawakala wa wanunuzi wa Parachichi kutambuliwa na serikali kupitia COPRA kabla ya msimu kuanza
  4. Kuundwa kikosi kazi cha kupitia Sheria Ndogo za tasnia ya Parachichi 
  5. Vibali na Tozo za Parachichi kuangalia upya
  6. Pendekezo la kuwa na Green Passport ya zao la Parachichi ili kupunguza usumbufu wa usafirishaji barabarani 
  7. Kuwa na vyama vya ushirika vya wazalishaji wa Parachichi 

Maagizo ya Wizara ya Kilimo kwa Taasisi Zake na Wadau wa Parachichi chini ya Mhe. Waziri Bashe

  1. Tarehe ya kuanza na kuisha msimu wa mauzo ya Parachichi kutangazwa na Serikali kupitia COPRA
  2. Kutengenezewa grading standard ya zao la Parachichi za kwenda soko la nje, kutumia soko la ndani na kuprocess viwandani. jina la reject halitatumika.
  3. Serikali kutangaza bei za Parachichi yenye tija katika kila msimu, kwa kila daraja kupitia COPRA
  4. Maafisa ugani kuidhinisha na kutoa ithibati ya viwango vya Ubora wa Parachichi.
  5. Serikali kuajili maafisa ugani 500 watakaotoa huduma kwenye zao la Parachichi tu.
  6. Serikali kujenga pack house na cold rooms za Parachichi 
  7. Serikali kutoza ushuru wa Halmashauri na huduma za vibali kwenye vituo vya pack house kwa muda mmoja.
  8. Serikali kufuta tozo za maji kwa wakulima wakubwa wenye mabwawa yao wenyewe.
  9. AGITF na Bank ya Ushirika watakuwa na bajeti yao maalumu kutoka Serikalini ya kukopesha wakulima wa Parachichi kwa riba ya 4% 
  10. Wazalishaji wa miche kupewa ruzuku kupitia COPRA
  11. Kikao cha wadau wa Parachichi kufanyika maramoja kila mwaka Kitaifa.
  12. Serikali kutoa vitambulisho maalumu kwa wanunuzi wa Parachichi wenye vibali kupitia COPRA
  13. Kutakuwa na msimu mkubwa na msimu mdogo wa Parachichi na kila msimu utatangazwa na Serikali.
  14. TARI kwa kushirikiana na kampuni ya Intracom wameanza kufanya utafiti wa kuzalisha mbolea maalumu ya Parachichi na itawekewa ruzuku.
  15. Makaa ya mawe kutumiwa na viwanda kuzalisha mbolea ya Urea na Phosphate.
  16. Tozo za phytosanitary certificate TSh.130,000 na inspection fee TSh.7/Kg kuendelea kutozwa kwa rate za kawaida.
  17. Mazao mengine yoyote ya Kilimo yanayoingizwa nchini kutozwa kodi zaidi ili kulinda wakulima na soko la ndani.

Mwisho wa Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Wadau wa Zao la Parachichi Tanzania Dodoma, Midland Hotel Tarehe 4/4/2025

www.ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2024/2025 WAFANYIKA UKUMBI WA COMMUNITY CENTRE NGARA MJINI

    May 07, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE HAJAT FATMA ABUBAKARI MWASSA AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDEKEO WILAYA YA NGARA

    May 03, 2025
  • MHE HAJJAT FATMA MWASSA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO WILAYA YA NGARA

    May 02, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE HAJAT FATMA MWASSA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA WAFANYAKAZI ZAFANA KIMKOA WILAYA YA NGARA

    May 01, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa