• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Mamlaka ya Maji Yakusanya Milioni 34 na Kutumia Milioni 35

Wakati ilipowekwa: May 3rd, 2018

Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Ngara Mjini (NGUWASA), katika kipindi cha robo ya tatu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, imefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi milioni 34.7 na kutumia zaidi ya shilingi milioni 35.

Meneja wa Mamlaka ya Maji Eng. Simoni Ndyamukama, aliyasema hayo wakati akiwasilisha taarifa kwenye kikao cha robo ya tatu, kilichofanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara mwishoni mwa Aprili 2018.

Eng. Ndyamukama amesema kufikia tarehe Machi, 2018, Mamlaka imefanikiwa kuwa na wateja 2,639, na kwamba NGUWASA ina lenga kutoa huduma ya maji kila siku, kwa wakazi wa mji wa Ngara kwa   kutumia teknolojia ya mitambo 3 ya kusukuma maji.

“Katika kipindi cha Januari hadi kufikia Machi 2018, hali ya upatikanaji wa maji katika maeneo mengi ya mji wa Ngara, ambayo ni Mubinyange, Nyamiaga, Murgwanza, Nakatunga na Buhororo, ilikuwa ni ya wastani.” Alisema Eng. Ndyamukama.

Jumla ya matumizi katika kipindi cha Januari hadi Machi 2018 mamlaka imetumia shilingi. 35, 794,980, ambapo shilinigi 24, 300,000 zimetumika kulipia gharama za umeme wa kuendeshea mitambo.

Eng. Ndyamukama amesema kwamba, Mamlaka ya Maji imetumia jumla ya shilingi 11, 494,980, kuwalipa wafanyakazi mishahara, kukarabati miundombinu na uendeshaji wa ofisi.

Aidha, amesema hadi Machi, 2018, Mamlaka inadai shilingi 22, 972,820.00, ambapo wadaiwa wakubwa ni taasisi za serikali ambazo ni Magereza inayodaiwa shilingi 18, 180,650, na taasisi nyinginezo zanadaiwa shilingi  2, 831,720.00, ambapo watumiaji wengine wanadaiwa shilingi 1, 960,500.00.

Kupanda kwa gharama za umeme wa kuendeshea mitambo ya kusukuma maji ni changamoto, inayosababisha Mamlaka ishindwe kutekeleza majukumu yake mengine, kwani kwa mwezi mmoja pekee gharama za ankra za umeme zinafikia wastani wa shilingi 12, 000,000.00.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa