- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Meneja wa RUWASA Eng Ndyamukama akabidhi katoni za Maji Kwa ajili ya kongamano la miaka 62 ya uhuru Wa Tanzania Bara.
Makabidhiano yamefanyika Leo tarehe 8/12/2023 Kwa kamati ndogo ya maandalizi ya wiki ya Maadhimisho.
Kamati ndogo ya uratibu wa Maadhimisho wamemshukuru Meneja wa RUWASA Kwa kutoa Katoni za maji.
RUWASA Wakikabidhi katoni za Maji.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa