- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
UWANJA WA KAITABA BUKOBA
Tamasha hili kubwa limeandaliwa na Mhe Hajatt Fatma Abubakar Mwassa - Mkuu wa Mkoa wa Kagera na kujumuisha Makundi mbalimbali wakiwemo Viongozi wa dini, Viongozi wa Chama na Serikali na wananchi wote katika Mkoa wa Kagera
Maombi maalum ya kuliombea Taifa na viongozi wake wakiongozwa na Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuuombea Mkoa wa Kagera.
Maombi haya ni sehemu ya ratiba ya tamasha kubwa la 'IJUKA OMUKA (Kumbuka Nyumbani) 2024' Tamasha ambalo linawakutanisha wana Kagera na wadau mbalimbali wa maendeleo kwa ajili ya kujadili fursa mbalimbali za kiuchumi na kuona namna bora ya kutatua changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo ya Mkoa.
Kauli mbiu ya Tamasha hili la ljuka Omuka mwaka 2024 ni "Wekeza Kagera na Irudishe katika Ubora wake."
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa