- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
20/05/2025
Yamefanyika Mashindano ya michezo kwa shule za Msingi UMITASHUMTA Kwa kushirikisha timu za vitalu vya tarafa.
Tarafa zote nne ambazo ni Mursagamba ,Rulenge,kanazi na Nyamiaga, Zimeshiriki michezo hiyo iliyofanyika Ngara Mjini
Michezo iliyoshindaniwa ni Soka wasichana, wavulana, Netiboli, Volleyball wavulana na wasichana, Handball wavulana na wasichana, Basjetball wavulana na wasichana, Goal ball wenye uoni hafifu, riadha maalum na riadha kawaida pamoja na sanaa za maonesho.
Jumla ya wanamichezo 95 na walimu 8 wamechaguliwa kuunda timu ya wilaya ambayo wameingia kambini kujiandaa na mashindano ngazi ya mkoa yatakayofanyika katoke Chuo cha ualimu Wilaya ya Muleba.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa