• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

MKURUGENZI MTENDAJI NGARA AITEKELEZA KWA VITENDO KAULI YA RAIS DK JOHN P. MAGUFULI

Wakati ilipowekwa: August 13th, 2019

Serikali ya Awamu ya tano chiniya Rais  Dk. John Pombe Magufuli ina malengo ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa viwanda. Rais Magufuli amekuwa akisema wawekezaji wapewe nafasi na wasicheleweshwe wakati wanapohitaji kuwekeza katika nchi hii.

Katika kutekeleza maagizo hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Ngara Ndugu Aidan J. Bahama kupitia Halmashauri ametenga maeneo maalum kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda, kilimo na sehemu za malisho ya mifugo.

Maeneo yaliyotengwa na Halmashauri ni eneo la Lumasi lenye ekari 1133 kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda , eneo la Kazingati (Msalasi na Mabonde yanayozunguka) jumla ya ekari 5190 kwa ajili ya kilimo cha kahawa na mpunga na bonde la Bigombo kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji. Maeneo mengine ni ya ujenzi wa masoko ya kimkakati katika mipaka ya Kabanga na Rusumo yenye jumla ya ekari 22.83.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maonesho ya Wiki ya Uwekezaji Kagera,Mkurugenzi Mtendaji wa Ngara alisema kuwa anawakaribisha wawekezaji wa nje na ndani ya nchi kuja kuwekeza wilayani Ngara maana maeneo makubwa yapo,yenye rutuba nzuri kwa ajili ya kilimo,hali ya hewa ya Ngara ni nzuri, miundombinu ya maji,barabara,umeme,usalama na huduma za kiafya zinapatikana kwa urahisi.

Ngara pia imejaliwa kuwa na madini ya Nikeli na Bati ambayo pia wawekezaji wanakaribishwa kubisha hodi ,Halmashauri iko tayari kuwafungulia milango kwa ajili ya uwekezaji.

"Ukiachilia mbali Kilimo na Ufugaji, Ngara tumejaliwa vivutio vingi vya utalii kama Maporomoko Rusumo,Mafiga Matatu(Sehemu ambayo ukisimama utaziona nchi tatu za Tanzania,Burundi na Rwanda kwa pamoja), Makazi ya Chifu Baramba II yenye zana za jadi,sehemu ya hifadhi ya Burigi yenye wanyamapori mbalimbali,Kaburi walipozikwa watu 917 kwa pamoja waliouawa wakati wa vita vya Kimbale nchini Rwanda pamoja na pango lililojengwa na Wajerumani kabla ya vita kuu ya kwanza ya dunia.

Kutoka kwenye 10% ya mapato ya ndani, Halmashauri ya Ngara imewawezesha kikundi cha vijana cha Uzuri ambacho kimeweza kuanzisha kiwanda kidogo cha viatu vya ngozi.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa