- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
17/03/2025
Umefanyika Mkutano wa Baraza la Madiwani robo ya Pili uliofanyika ukumbi wa Community Centre Ngara Mjini.
kikao hicho kikiongozwa na Mkiti Halmashauri ya Wilaya Mhe Wilbard Bambara kwa kushirikisha waheshimiwa madiwani wote, aidha kikao kimehudhuliwa na kamati ya Usalama wilaya, wakuu wa Idara na Vitengo ,taasisi za serikali ,mashirika Pamoja na Wananchi.
Baraza lilijadili mambo mbalimbali ikiwa na jimbo la uchaguzi kuwa na majimbo mawili. Kupokea Taarifa za kamati Mbalimbali za kudumu na kujadiliwa.
Mkiti wa Halmashauri akifunga kikao alisema
Ngara Kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa