- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA LEO
20/12/2024
Halmashauri ya wilaya imeendelea kushiriki tamasha la utamaduni mkoa wa kagera (ijuka Omuka) kwa kuwa na kibanda cha maonesho Sehemu ya Wajasiriamali wa viwanda vidogo na usindikaji bidhaa mbalimbali wanao shiriki maonyesho katka Banda la Halmashauri wakiwa na bidhaa zikiwemo,Miche ya Matunda mbalimbali, Parachichi, Kahawa, Mchele, unga wa Mahindi na Mihogo, Maziwa Fresh na Mtindi, Viatu bora vya Ngozi pia
Bidhaa nyinginezo ni pamoja na Mikanda ya Gipsam, Chaki, Ambapo vikundi vimewezeeshwa na Ndg Solomon kimilike Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Wilaya kupitia 10%ya mapato ya Ndani.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa