• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

RAIS MWINYI:MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KUENDELEA KUIMARISHWA

Wakati ilipowekwa: July 7th, 2025

NGARA UPDATES

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa dhamira ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni kuhakikisha mazingira wezeshi ya biashara na uwekezaji yanaimarishwa.

Rais Dkt. Mwinyi amesema kuwa Serikali itaendelea kuwa bega kwa bega na sekta binafsi, wajasiriamali na wawekezaji ili kuhakikisha wananchi wanashirikishwa kikamilifu katika maendeleo ya Taifa.

Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo, tarehe 07 Julai 2025, alipofungua rasmi Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yaliyofanyika katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu Julius K. Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Aidha, Rais Dkt. Mwinyi amepongeza mafanikio ya TanTrade na Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kuendeleza maonesho hayo na kuyaweka katika viwango vya kimataifa. Amebainisha kuwa mwaka huu, maonesho hayo yamevutia zaidi ya washiriki 5,734 kutoka ndani na nje ya nchi, jambo linalodhihirisha nafasi ya Tanzania kama kitovu cha biashara barani Afrika.

Katika hatua nyingine, Rais Dkt. Mwinyi amezitaka Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na TanTrade kuhakikisha kuwa elimu kuhusu Nembo Maalum ya Taifa kwa bidhaa na huduma za Tanzania (MADE IN TANZANIA) inawafikia wazalishaji na wananchi ili kuchochea uzalendo wa kibiashara.

Amesema uzinduzi rasmi wa nembo hiyo unalenga kuongeza thamani na kutambulisha ubora wa bidhaa za nchi katika soko la kimataifa.

Mapema, Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi alitembelea mabanda ya maonesho ya kampuni za biashara na huduma kutoka ndani na nje ya nchi, pamoja na kukutana na wafanyabiashara na wajasiriamali mbalimbali.

Rais Dkt. Mwinyi alikabidhi zawadi kwa kampuni bora yaliyofanya vizuri zaidi katika Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba 2025, pamoja na Wadhamini Wakuu wa maonesho hayo.

Halikadhalika, alipokea tuzo maalum pamoja na ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi zao katika kuimarisha maonesho hayo pamoja na kukuza mikakati ya biashara na uwekezaji nchini. Sambamba na hilo, Rais Dkt. Mwinyi alizindua rasmi Nembo Maalum ya Taifa kwa bidhaa na huduma za Tanzania, MADE IN TANZANIA.

www.ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • RAIS MWINYI:MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KUENDELEA KUIMARISHWA

    July 07, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA-MAJALIWA

    July 03, 2025
  • SAMIA INFRASTRUCTURE BOND: MPANGO MADHUBUTI UWEZESHAJI WAKANDARASI WAZAWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU

    July 01, 2025
  • MAJALIWA AZINDUA MITAMBO YA SHILINGI BILIONI 12.4 KWA AJILI YA WACHIMBAJI WADOGO

    June 26, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa