• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

RC AKABIDHI MIPIRA YA SOKA KWA SHULE ZA MSINGI TOKA (TFF) MKOANI KAGERA

Wakati ilipowekwa: March 11th, 2024

Imefanyika hafla ya ugawaji mipira  kwa Halmashauri 8 za Mkoa wa kagera, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa kagera.

Hafla hiyo imehudhuriwa na Viongozi wa chama Cha mpira wa miguu Mkoa wa kagera (KRFA) wakiongozwa na Mkiti  Ndg. Salum Umande Chama, Viongozi wa vyama vingine vya Mkoa.

Maafisa Elimu Msingi Halmashauri zote za Mkoa, Maafisa michezo/utamaduni Wilaya zote, walimu wa Michezo Manspaa na wanafunzi wanamichezo kutoka Manspaa ya Bukoba.

Mgeni Rasmi katika hafla  ya kukabidhi mipira ya soka alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa kagera Mhe Hajatt Fatma Abubakari Mwassa aliyewakilishwa na Mkuu Wa Wilaya ya Bukoba Mhe Erasto Sima.

Taarifa iliwasilishwa na Afisa Michezo Mkoa wa kagera Ndg Kepha Elias Kepha  ambaye  aliwashukuru Shirikisho la mpira wa miguu- TFF pia Rais Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa  hamasa Kubwa katika  michezo  Kwa Kutoa fedha Kwa  Kila goli michezo ya kitaifa.

Nae Mkiti wa Chama Cha mpira wa miguu Mkoa wa kagera KRFA Ndg. Salum Chama alisema lengo kubwa la Kutoa mipira hiyo ni kuibua vipaji  vya soka toka shule za Msingi.

Mgeni Rasmi Mhe Sima alisema mipira hiyo ikawe chachu ya kukuza taalum shuleni, somo la michezo lifundishwe Kwa wanafunzi kwa Vitendo,shule ziwe na hati Miliki vikiwemo viwanja vya michezo , wanafunnzi aendelee kufundishwa uzarendo ikiwa ni pamoja na nyimbo ya Afrika Mashariki.

Pia Halmashauri zitenge Fedha Kwa ajili ya Kitengo Cha michezo Sanaa na  utamaduni Kwa ajili ya mafunzo ya michezo.

Mhe Sima alisisitiza tupende michezo na pia kuipenda timu yetu inayowajiliaha Mkoa wa kagera (Kagera sugar) aidha maafisa michezo wawe wanafika kwenye michezo ya Kagera sugar inapocheza,, aliendelea Kwa kusema michezo ni sehemu ya Maisha.

Mwisho Mhe Sima Alimpongeza sana Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa  ni mwanamichezo namba  moja na kuwapongeza Shirikisho la mpira wa miguu (TFF) kwa Kutoa  mipira Kwa ajili ya kukuza na kuibua Vipaji vya michezo shuleni.

Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mhe Erasto Sima aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa kagera Mhe Hajatt Fatma A. Mwassa katika hafla ya ugawaji Mipira ya soka Kwa Halmashauri 8 za Mkoa wa kagera iliyofanyika Ukumbi wa mkuu wa mkoa.


Mhe Sima akikabidhi Mipira 100 Kwa kaimu Afisa Elimu Msingi Ndg Ezekiel Zabayanga na Afisa Michezo / Utamaduni Ndg said Salum katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa.



Mhe Erasto Sima Mkuu wa wilaya Bukoba akiwa na Afisa Michezo Mkoa wa kagera Ndg. Kepha Elias Wakikabidhi mipira   Kwa Afisa michezo na utamaduni Ndg. Swirtbert Mujemula Halmashauri ya Bukoba katika hafla ya ugawaji mipira iliyofanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa kagera.


Maafisa Michezo wakiwa kwenye  hafla ya ugawaji Mipira Kwa Halmashauri 8 za Mkoa wa kagera.


Wanafunzi wanamichezo Kutoka manspaa ya Bukoba wakiwa kwenye picha Pamoja na Mhe Erasto Sima Mkuu wa wilaya ya Bukoba , Ndg kepha Elias Afisa michezo Mkoa kagera , Ndg Salum Umande Chama Mkiti KRFA, na  Mwl Ezekiel Zabayanga kaimu Afisa Elimu Toka Ngara na Mwl. Marwa afisa elimu Msingi toka kyerwa.



Mhe Sima akikabidhi Mipira kwa Afisa michezo Ndg Denis toka Muleba.



Afisa michezo Misenyi akipokea Mipira Kutoka Kwa mkuu wa wilaya Mhe Erasto Sima.



Afisa Elimu Msingi karagwe  akiwa na Afisa michezo wa karagwe wakipokea Mipira kutoka Kwa Mkuu wa Wilaya Bukoba Mhe Erasto  Sima.

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa