• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

RC FATMA MWASSA AFANYA KIKAO KAZI CHA MKOA WA KAGERA WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: January 4th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa kagera Hajati Fatma Abubakari Mwasa amefanya kikao kazi Kilichofanyika wilayani Ngara kwa siku mbili 2 katika ukumbi wa St. Francis Uliopo Ngara Mjini.

Kikao hicho  akiwemo Mhe Dkt Toba Nguvila katibu Tawala Mkoa wa kagera, Waheshimiwa Wakuu w Wilaya zote, Makatibu Tawala Wasaidizi Toka RS, Mstahiki Meya Bukoba Manspaa, Mhe Mkiti Halmashauri ya Ngara, Wakurugenzi Watendaji Halmashauri na Manspaa, Wakuu wa Idara na Vitengo Toka Halmashauri, Taasisi za serika TARURA, RUWASA, TANESCO.

Malengo ya kikao kazi Cha Mkoa wa kagera chini ya Mkiti Mhe. Hajati Fatma Abubakari Mwassa yalikuwa ni 

1. Kufanya mapitio ya Bajeti 2023/2024


2. Kuwaunganisha  Wana kagera  watumishi wa Wilaya na Wilaya ili kushirikiana Mkoa wetu uweze kufanya vizuri.


3. Kujadili namna ya kukuza uchumi wa kagera.


4. Vipaumbele vya Mkoa wa kagera katika Sekta Mbalimbali ikiwemo Kilimo, Mifugo na uvuvi.


5. Kuibua vyanzo vipya vya Mapato.


6. Kujifunza katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ilivyofanya vizuri katika Miradi ya Maendeleo kitaifa na kupata Tuzo Toka Kwa Mhe Mohamed Mchengerwa Waziri OR TAMISEMI.


Aidha Mhe Mkuu wa Mkoa Hajat Fatma A Mwassa wakati wa kufunga aliipongeza Mhe Mkuu wa Wilaya Kanali Mathias J. Kahabi  na  Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Kwa zoezi la Usafi na utunzaji wa Mazingira aliendelea Kwa kusema Ngara inapendeza Kwa usafi hongereni Sana .

Viongozi Mbalimbali wakiongozwa na Mhe Dkt Toba Nguvila  katibu Tawala Mkoa wa Kagera wakitembelea Nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji wilaya Ngara iliyojengwa tsh 150,000,000= viongozi wamepongeza.


Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya Kutoka kushoto Mhe Erasto Sima Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Manspaa, ACP Advella John Bulimba Mkuu wa Wilaya Biharamulo, Mhe Laizer mkuu wa Wilaya karagwe, na Mhe Zaituni A. Msofe mkuu wa Wilaya Kyerwa katika kikao kazi Cha Mhe Mkuu wa Mkoa kagera Kilichofanyika wilayani Ngara.


Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Ndg Solomon Kimilike akiwa na Mkuu Wa Wilaya ya Misenyi Kanali Maiga  aliyevaa kofia ya bruu.


Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya aliye kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Muleba Dr. Nyamuhanga.


Viongozi Mbalimbali wakiwa kwenye kikao kazi Kilichofanyika wilayani Ngara.


Aliyesimama Mkuu wa Mkoa wa kagera Mhe Hajati Fatma Mwassa  kushoto ni Katibu Tawala Mkoa Dkt. Toba Nguvila, kulia ni Mstahiki Meya Manspaa ya Bukoba na Anayefuata Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe. Kanali Mathias J. Kahabi katika kikao kazi Kilichofanyika wilayani Ngara kagera.


Eng. Saimon Mtuka akiwaongoza viongozi kutembelea shule Mpya ya Sekondari Murubanga kata ya Nyamagoma Wilayani ngara.


Katibu Tawala Mkoa wa kagera Dkt. Toba Nguvila katikati akiwa na Mkuu Wa Wilaya ya Ngara Kanali Mathias J. Kahabi na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon O. Kimilike katika ziara ya kutembelea Miradi ya Ngara.


Maabara shule Mpya ya Sekondari Murubanga wilayani Ngara.





Nyumba ya Mkurugenzi iliyojengwa Kwa gharama za tsh 150,000,000=.



Shule ya Sekondari Mpya ya Murubanga kata ya Nyamagoma Wilayani Ngara.


ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa