- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amefanya mazungumzo na Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wake Bwana Justine Mhando, ambao wamefika Ofisini kwake Januari 13, 2025 wakiwa katika Ziara ya Kikazi ya Siku mbili ya Kukagua Mali za Shirikia hilo.
Mkuu wa Mkoa Hajat Fatma Mwassa amefurahishwa na ujio huo, na kuongeza kuwa kufika kwao katika Mkoa wa Kagera itaongeza chachu ya kuziunganisha pia Nyumba na Majengo ya Taasisi katika mpango wa Bima, tofauti na ilivyozoeleka kuwa Bima ni kwa ajili ya Magari tu na mambo mengine.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa