- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Uongozi wa Tembo Nickel ukiwakilishwa na Bi. Beatha Kisaka pamoja na Wataalam wa mazingira toka Kampuni ya RSK wamefika Ofisini kwa DC Ngara Mhe Col Mathias Julius Kahabi kwa ajili ya kutoa taarifa ya maendeleo ya Mradi huo.
Wataalam waliofika Ofisini kwa Mhe DC Col Mathias Kahabi ni pamoja na Josephat Kalugasha, James Lusana, Robert Dray(UK) na Kiongozi wao bi. Beatha Kisaka.
Timu hii ya Wataalam inatoa ushauri wa mazingira kwa maeneo yote ya Waguswa wa Mradi hususan maeneo ambayo yamekusudiwa kwa ajili ya Makazi yao baada ya kuhama katika maeneo ya awali.
Aidha, kazi hii ilianza kufanyika kuanzia tarehe 11/11/2024 na inatarajiwa kukamilika Tarehe 28/11/2024.
Ngara Kazi inaendelea...
Ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa